Computer Programmers Only: Ifahamu Application ya kubadilisha maandishi yasieleweke kwa ajili ya kuficha kilichoandikwa (cipher)

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,135
3,170
Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming.

Kwa watu wenye idea ya Cipher watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili yasiweze kueleweka ili kuficha kile kilichoandikwa.

Mtu anaweza kuona maandishi haya ya mficho lakini asielewe.Walioko kwenye tasnia ya ujasusi watakuwa wananielewa vema.Ili uweze kusoma maandishi yaliyofichwa ni lazima uwe na code key.

Kwa mujibu wa wataalamu wa mambo cryptography kuna watu wanauwezo wa kubreak code na kupata kilichoandikwa kwenye message iliyofichwa.

Wakati wa vita ya pili ya dunia mjerumani alikuwa anakifaa kwa ajili ya kuficha message zake wakati wa mawasiliano ya kijeshi baina ya senior millitary commanders, kifaa hicho kilikuwa kinaitwa enigma.Lakini wataalamu wa intelligence waliweza kubreak code za mjerumani na siri zote kuwa wazi.

mfano tu wa cipher unaweza kuwa kama hivi "Njoo nyumbani mama mgonjwa" sentensi hii inaweza ikawa na maana fulani maalumu japo msomaji wa kawaida ataitasfiri kama ilivyo.

code hii />+Cs+,ju(ZZ+F]{Z+VZCtZCsZ maana yake "JF ni jukwaa bora Tanzania"

Application hii inabadilisha maandishi kuwa kwenye mfumo wa kuficha(Cipher) na kuyarudisha kuwa ya kawaida (Dipher)

Hapa chini ni muenekano wa application ikiwa imebadilisha maandishi ya kawaida(kushoto) kuwa cipher (kulia)

Cypher.jpg
 
View attachment 1570541
Nakubali
 
...natamani nijifunze hayo mambo,nianzie wapi kama kuna kitabu itapendeza Sana.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom