Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,330
- 2,242
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze kuagiza parts moja moja kulingana na budget, kipato changu sio kikubwa kihivo.
Mchanganuo wangu ni kama ifuatavyo kila part na bei yake.
MOTHERBOARD COMBO:
Hii ni combo ya motherboard, RAM na CPU.
CPU ni xeon e5 2650 V3, RAM ni 16GB ECC RAM, na motherboard ni x77 kama sijakosea kwenye hio combo.
PSU.
PSU niliyochagua ni Aigo 500watt.
bei ni kama ionekanavyo hapo 80,000/=.
nimepitia reviews zake naona sio mbaya na ina free shipping.
SSD
SSD nimeweka budget ya 60,000/= ambapo nategemea NVME SSD ya 500GB.
CPU COOLER.
Hapa naenda na Aigo pia wana cooler yao nimeona ratings zake sio mbaya iko na fan 3, kama sijakosea, bei yake ni 50,000/=.
GPU
GPU bei sana, na kulingana na budget yangu napanga kuchukua rx 580 8GB, kwa budget isiyozidi 160,00/= naona ina perform fresh kwa 1080p tena high settings most titles.
CASE
Upande wa case budget yangu nimetenga 100,00/= kuna case nimeziona Alibaba 50,000/= tu, na ukiweka 50,000 nyingine ya Silent Ocean nakadilia sijawai tumia, ocean ila naona ni nafuu sana kwa vitu vizito make AliExpress bei za chasis zimesimama sana kutoka na shipping.
Jumla inachezea roughly 650,000/=.
Naombeni msaada wa mawazo pa kubadilisha, pa kuongeza na pa kuondoa before sija anza parts hunting AliExpress, na pia kama kuna better option zaidi ya hii pia nawakalibisha.
NB: Nna mpango wa kutumia hii machine kwa ajili video editing na casual 3d rendering.