Nina shida na PC yangu,imeanza kuupdate window sasa ni saa ya kumi inaisha na iko 183 ya 194...ni tatizo,nisubiri au nifanyaje,maana naanza ingiwa na mashaka
Habari wanna jamii , Nina Samsung note 3 lakini inanipa Tabu ku post pic. Baada ha ku attach Niki click submit hua haitaki. Naomba Msaada wenu kunitoa ushamba.
Habari wakuu mimi ni Blogger so kutafuta traffiv inanilazimu kushare post zangu za blog kweny ma grou fb yani nmefungua account nying zote zinakuwa blocked....
so wakuu amabaye anaweza nisaidia...
Habari zenu wanabodi. Jukwaa hili limekuwa na msaada sana kwa mambo mbalimbali. Kuna picha nimefuta (delete) kwa bahati mbaya kwenye tablet yangu. Je Kuna uwezekano wa kuipata tena kama inavyokuwa...
Wadau napenda kutangulza shukran zangu za dhat kwenu! Nimekua nikipata msaada zaid kupitia nyinyi!!!
Leo nimekuja na mada nyingne.
Nina sim angu aina ya asha 302 ilikua ikifany kaz vzur ila kuna...
jamani habari za muda huu ndugu zangu.....Nina tatizo nina simu yangu ya tecno m 3 imekataa kuwaka tangu jana inawaka lakini inaishia kutoa jina LA tecno tu.....pasipo kuwaka kabisa tafadhari...
hii nimeipata tech crunk..
Microsoft Is Developing Software That Converts Android Phones To Windows 10 | TechCrunch
sijui kama microsoft watafanikisha lengo la kuwavuta android users wengi....
Habaru zenu.
Kwa anaefaham application inayozuia application zingine zisirun at background ili kuzuia data zisipotee au kutumia application aina moja tu bila ya kuingiliana na nyingine. Mfano km...
Habari za hapa jamaa, Natumai tupo poa kwa uwezo WA mungu,ama baada ya salam napenda kufikisha ombi langu kwenu.
Nina computer ambayo ndio kitendea kazi changu imenigomea kabisa Ku-install...
Habar wadau, nmenunua flash ya kingstone 16Gb baada ya kuitumia kma wiki 2 sasa naona siielewi! nikiiweka kwenye laptop inaonesha inavitu vilivyokula kama 7Gb ila nikiifungua inaandka empty...