Tatizo la updates kwenye windows 7, naomba msaada

Tatizo la updates kwenye windows 7, naomba msaada

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
Nina shida na PC yangu,imeanza kuupdate window sasa ni saa ya kumi inaisha na iko 183 ya 194...ni tatizo,nisubiri au nifanyaje,maana naanza ingiwa na mashaka
 
Picha hiyo
 

Attachments

  • 1427123483453.jpg
    1427123483453.jpg
    23.3 KB · Views: 99
Ndo inadownload au ina install? kama inadownload haina neno endelea na shughuli zako hata ukizima ukija kuwasha itaanza ilipoishia ila kama ina install ni mambo mengine tena.
 
Back
Top Bottom