Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Habaru zenu.
Kwa anaefaham application inayozuia application zingine zisirun at background ili kuzuia data zisipotee au kutumia application aina moja tu bila ya kuingiliana na nyingine. Mfano km natumia JF zile za Whatsapp zisiingie.
Nawasilisha..
Cc Chief-Mkwawa, Mwl.RCT

Last edited by a moderator: