Msaada kwanini siwezi Ku-comment instagram

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Msaada please kila nikitaka Ku comment instagram inakataa sijajua shida hasa ni nini?
 
Attachments

  • Screenshot_2015-03-19-12-33-03.png
    Screenshot_2015-03-19-12-33-03.png
    18.5 KB · Views: 208
Inakataa Sababu kilichowekwa kithungu wewe unacomment kimakonde ndio maana inagoma.
 
Inakataa Sababu kilichowekwa kithungu wewe unacomment kimakonde ndio maana inagoma.
Teh teh kwi kwi sio kimakonde ni kisambaa tu, but serious nahitaji msaada
 
maybe keyword unayoandika imekuwa blacklisted kwenye lugha nyengine. ukiandika hahaha pia inakataa?
 
Hivi huna mambo ya maana ya kufanya unahangaika hangaika instagram kama akina wema sepetunga? Halafu mnaanza kulalamika nchi haina hela kazi kufanya hamtaki mko insta..mxxxx
 
Itakua ni wale ambao wanaopostigi matangazo . labda mwenye acc kaamua kureport comment zako
 
Hivi huna mambo ya maana ya kufanya unahangaika hangaika instagram kama akina wema sepetunga? Halafu mnaanza kulalamika nchi haina hela kazi kufanya hamtaki mko insta..mxxxx
Hiyo ndo kazi yangu bwana kaka
 
Hivi huna mambo ya maana ya kufanya unahangaika hangaika instagram kama akina wema sepetunga? Halafu mnaanza kulalamika nchi haina hela kazi kufanya hamtaki mko insta..mxxxx
Atakuwa ana tafuta picha za uchi za wasanii sasa mufahamishe ni vipi
 
Atakuwa ana tafuta picha za uchi za wasanii sasa mufahamishe ni vipi[/QUOT

Kama unaweza kunisaidia nisaidie lakini sio kunifikiria in negative way kaka kwanza Ku comment havina uhusiano hata kidogo na picha za uchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom