Tatizo hili linatokana na nini?

Tatizo hili linatokana na nini?

Real One

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
2,158
Reaction score
1,881
308b62ead41f7fe9924c2fa600be8abb.jpg

Habari za majukumu wakuu.Ninatumia LG G2 nikitaka kudownload games au application kubwa inaniletea huo ujumbe,tatizo ni nini?
 
nenda setting then apps then itafute playstore halafu clear data tatizo litakwisha.

next time ukipata error tumia hio namba kugoogle.

mfano kwako unge google playstore error 902
 
Samahani mkuu kama nikiclear data apps zote nilizodownload kupitia playstore zinaweza kufutika?
 
Samahani mkuu kama nikiclear data apps zote nilizodownload kupitia playstore zinaweza kufutika?

hazifutiki, kuelewa zaidi angalia hizo data zina mb ngap then compare na app ulizodownload
 
Mtandao wako wa mobile utakuwa sio mzuri
 
308b62ead41f7fe9924c2fa600be8abb.jpg

Habari za majukumu wakuu.Ninatumia LG G2 nikitaka kudownload games au application kubwa inaniletea huo ujumbe,tatizo ni nini?

tngu playstore iwe updated hlo tatizo lmewakuta weng...ni bugs zao tu..
 
Back
Top Bottom