Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
1506382_587840758004131_2042181814442077210_o.jpg


EDIT

TOLEO JIPYA LIMETOKA TAFADHALI FATILIA HAPA: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...pdate-mchango-wako-ni-muhimu.html#post9805978

******************************************************************

ESE (English-Swahili-English) Dictionary.

Heshima kwenu wote, leo nna furaha ku-release hii software.

Kamusi hii ni ya Kingereza–Kiswahili–Kingereza. Kamusi hii ni BURE kabisa download na umpe mwenzako.Shukran za pekee kwa Stefano Mtangoo na Joe Nyandigira asanteni sana kwa mawazo yenu na kufanya beta testing.

Capture.PNG


Graphics & Icons by Joe Nyandigira

Kama unawazo lolote au ukikumbana na bug yoyote tafadhali naomba usisite kuliwasilisha kupitia Hosanna HigherTech Forums - ESE Dictionary au kupitia katika uzi huu moja kwa moja.

Ntajaribu kukifanyia kazi kila kinachosemwa ili kuifikisha mbali kamusi hii. Kamusi hii ina-interact na SQLite 3 Database ambayo utapata maelezo yake katika kipengele cha “About”.

Summary:

Full name: English-Swahili-English Dictionary
Short name: ESE Dictionary
Version: 1.2 Beta
Platform: Windows XP SP3 or later -- Badae inaweza ikapatikana katika Windows RT/Metro na kama itawezekana ntai-port katika Linux na Android.
Product Page: http://www.esedictionary.com/
Download Size: 3.8MB (.exe)

DOWNLOAD NOW

Feedback kutoka kwenu ni muhimu sana.

NOTE 1:
Kama ulikuwa tayari unatumia ile beta 1.0 inabidi u-uninstall halafu uinstall v1.2

NOTE 2: Naomba ---- una wazo lolote usisite kuliwasilisha ili tuifanye hii kamusi iwe bora kabisa.

NOTE 3: Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuandaa help file naona watu wanauliza jinsi ya kutumia kamusi hii naomba tuwasiliane.

NOTE 4: Kamusi hii ni ya BURE (Kuwa FREEWARE haimaanishi unaruhusiwa kumodify chochote kile au sehemu yoyote ile ya program hii, kama umeguswa na kazi hii usisite kutoa mchango wako kupitia PayPal, M-PESA au Tigo-Pesa

esedonate.PNG
 
Kazi ni nzuri sana NYASIRO
.
big up sana kwa wote MLIOHUSIKA pia C6 , Stefano Mtangoo
.
ntafurahi sana itakapoletwa hapo baadae na ktk windows RT/METRO na utakapo i port ktk LINUX
.
natumaini kazi itazidi sana kukua hasa ukizingatia kiswahili kinazidi kukua day after day...
.
natumain ntaiona SOFTPEDIA au vp Nyasiro..
.
GOOOOD LUCK.... MKUU
 
Last edited by a moderator:
ESE (English-Swahili-English) Dictionary.
Heshima kwenu wote, leo nna furaha ku-release hii software.Kamusi hii ni ya Kingereza–Kiswahili–Kingereza.

Kamusi hii ni BURE kabisa download na umpe mwenzako.Shukran za pekee kwa Stefano Mtangoo na C6 asanteni sana kwa mawazo yenu na kufanya beta testing.

View attachment 128698

Graphics & Icons by C6

Kama unawazo lolote au ukikumbana na bug yoyote tafadhali naomba usisite kuliwasilisha kupitia Hosanna HigherTech Forums - ESE Dictionary au kupitia katika uzi huu moja kwa moja. Ntajaribu kukifanyia kazi kila kinachosemwa ili kuifikisha mbali kamusi hii.

Kamusi hii ina-interact na SQLite 3 Database ambayo utapata maelezo yake katika kipengele cha “About”.

Summary:
Full name: English-Swahili-English Dictionary
Short name: ESE Dictionary
Version: 1.2 Beta
Platform: Windows XP SP3 or later -- Badae inaweza ikapatikana katika Windows RT/Metro na kama itawezekana ntai-port katika Linux na Android.
Download Size: 3.8MB (.exe)
Download Link: HERE

Feedback kutoka kwenu ni muhimu sana.

Ngoja niumganishe pc...ila hata kabla sijaitest, hii ni hatua nzuri sana...na kama nsiposema hongera nadhani ntakua siitendei haki teknolojia na watu kama nyie hasa mlioshiriki katika hili!!

Nadhani huu ni mfano na ni changamoto kwetu wote hasa walio vyuoni na wanaosomea computer!!! Unakuta mtu mtaani anajisifia nna digrii ya sayansi ya kompyuta..au hata comp engineering wakati hata kufugugo hajui (samahan kama nyakua nimemuudhi mtu)!!!

Na je kama mtu anataka kufanya project kama hii ni nin kinahitajika?? Naongelea knowledge au utaalamu!! Nawasilisha wana jamvi..
 
Good work Nyasiro
Mi naisubiria kwa hamu port ya Linux...!
Windows inasumbua kidogo ina crash.
Ngoja nitest latest!
 
Last edited by a moderator:
Good work Nyasiro
Mi naisubiria kwa hamu port ya Linux...!
Windows inasumbua kidogo ina crash.
Ngoja nitest latest!

nadhani nilikuwa wa mwanzo kuitest ya mwisho haina matatizo kama versi mbili mwanzo. ila nashangaa kwann developer ( Nyasiro ) haweki direct link ili watu waipakue wakisubiri hiyo ya softpedia
naona ame update download link
 
Last edited by a moderator:
nanaona bado inazingua,btw kazi nzuri

sasa iko sawa

Good work Nyasiro
Mi naisubiria kwa hamu port ya Linux...!
Windows inasumbua kidogo ina crash.
Ngoja nitest latest!

hii hai-crash nlifix tokea v1.1

nadhani nilikuwa wa mwanzo kuitest ya mwisho haina matatizo kama versi mbili mwanzo. ila nashangaa kwann developer ( Nyasiro ) haweki direct link ili watu waipakue wakisubiri hiyo ya softpedia

direct link ipo tayari
 
Thanks sana mkuu nilikua natafutaga sana kitu kama hii,ninayo ile ya TUKI full majanga,nadhani hii itanisaidia sana, katika kusoma kwangu vitabu maana kuna vitabu huwa napambana navyo vina misamiati migumu sana,hongereni wote na shukrani sana,mungu awazidishie mzidi kufanya kazi nzuri kama hii......
 
Thanks sana mkuu nilikua natafutaga sana kitu kama hii,ninayo ile ya TUKI full majanga,nadhani hii itanisaidia sana, katika kusoma kwangu vitabu maana kuna vitabu huwa napambana navyo vina misamiati migumu sana,hongereni wote na shukrani sana,mungu awazidishie mzidi kufanya kazi nzuri kama hii......
Kua kipindi tulitaka kui convert ile ya Tuki ili kuiweka katika App yetu fulani inayojumlisha list ya dictionaries ila tulivyowaza kuhusu mlolongo wa kupitia mpaka kupata permission and deal itakavyokuwa complex tukapiga kimya kwanza!

Hii ya Nyasiro itasaidia sana.
 
Last edited by a moderator:
Nimeidownload, ila ngoja nitumie nitatoa feedback!! hatua hii nakupa hongera sana!!
Naomba nitumie swali kutaka kujua zaidi, wewe muda na ufundi ujuzi wako uliotumika utalipwa je, endapo itakuwa free kudownload?

SP
 
Back
Top Bottom