Bei ya Huawei y550

Bei ya Huawei y550

Stamina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
589
Msaada wadau, nipo chuo, mbali na Dar es salaam, naomba kwa anayejua bei ya huawei y550 kwa hapo Dar, anijuze wadau!
 
Stamina alivyouliza ki-simple simple unaweza kudharau eti!
Nimeicheki GSMARENA hii simu,ni 4G i.e LTE
Khaa!,hili zali,simu ya 4G kwa bei rahisi!
 
Back
Top Bottom