Jinsi ya kupost picha Jamiiforums, naomba msaada

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
Habari wanna jamii , Nina Samsung note 3 lakini inanipa Tabu ku post pic. Baada ha ku attach Niki click submit hua haitaki. Naomba Msaada wenu kunitoa ushamba.
 
Naona kazi hii ni nzito lakini elimu inazidiana mkuu vuta subra watakuja wataalam
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom