Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za humu wakuu kiukweli huwa naliona hili neno na kuna mda fulani nmeshawahi kusikia hadi watu wakisifia hili yan wakisema hiv....(simu za siku hizi zina wi-fi siyo masimu ya zaman hayan...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nilikuwa natumia adobe illustrator CS6 ila muda wake wa trial umeisha na nimejaribu kutumia crack files bila mafanikio yoyote je mnaweza kunisaidia niweze kuitumia application hiyo.
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Habari wanaJF, TV yangu imepasuka Display ila inawaka vizuri tu, tatizo ni hiyo display. Huku kwetu Kahama nimekosa, hata Mwanza hakuna. Ni Sony inch 32 HDMI, Model mpaka niangalie kwani...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
microsoft wamezindua lumia 430 kwa dola za kimarekani 70 ambazo ni kama 130,000 za kitanzania kabla ya kodi na ruzuku. specs za simu ni -kioo cha inch 4 wvga -ram 1gb -processor...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakuu ogwhatsapp kwa sasa haifanyi kazi, na whatsapp+ nayo nilisikia iko hivyo japo sijawahi kuitumia. Sasa wale wenye ujuzi wa kuwezesha kutumia whatsapp mbili kwa simu moja walete ujuzi ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimefurahi kuweza kutazama live channel hizo mbili za CHANNEL TEN na TBC kupitia simu tv app lakini nashangaa vituo kama ITV na Star Tv hupata fursa ya mwisho katika haya mambo.kumbuka wakati wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Waungwana naomba kufaham au kujuzwa kuusu hili neno MediaTek kwa kiundan zaidi na matumiz yake ... NB: Na pia nitashukuru sana ukiamia pia kwa upande wa sim je zinatumika kwa kazi ipi ni hayo...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
habari wakuu,natafuta enclosure ya desktop 3.5 IDE drive ili niweze kuitumia hard disk kama external storage.Nitafurahi sana kama nitaipata kwa kuelekezwa mahali zinapouzwa ama kwa kuuziwa moja...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Natumia Sonny Experia z2, na install IMO ila pale inapo anza na ingiza namba simu nikisema Get stated ina load tuu na haiendi popote ikisema one moment please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana simu yangu ni nokia xl , nahitaji kuinstall playstore ili iwe rahisi kudowload apps nyingi coz app za nokia store si nzuri.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi, jamani mimi nina external usb yangu, majuzi jamaa alii-format kimakosa halafu akaweka data nyigine, niliposhituka na kutambua kuwa baadhi ya docs zangu zimeangamia ilibidi kufanya...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Wadau inawezekana nipo nyuma kiteknolojia, nimekaa pahala namuona bwana mmoja kashika tablet, na pia kavaa saa mkononi, kilichonisgangaza amepigiwa simu halafu anapokelea kwenye hiyo saa, naomba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ni wiki sasa kila nikijaribu kufungua akaunti yangu ya yahoo na ile ya fb naambiwa "untrusted connection" tatizo ni lipi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani nimejaribu kufungua account ya twiter ...imekubali lkn kila nikijaribu kutweet au kumalizia registration procedures inazingua.... kwa wataalamu nijulisheni kidogo au kna sehemu nakosea
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wadau mbona nikifungua channel mfano tbc kwenye hii app ya simu tv habari huwa zinajirudiarudia sababu ni nini!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau nahitaji msaada,naomba mwenye serial numbers za adobe illustrator CS6 anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Habari zenu wana jukwaa pendwa la science&gadgets, Nimeleta uzi huu wa kupata msaada wa kujuzwa namna ya ku-copy taarifa yoyote hapa jf au hata kwenye website nyingine kwa kutumia simu/...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu habari, naomba kujuzwa juu ya hii gari kabla kufanya maamuzi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu nahitaji fundi wa kunitengenezea simu yangu imekufa display na bei yake tafadhali,natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…