abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Wana jamvi, jamani mimi nina external usb yangu, majuzi jamaa alii-format kimakosa halafu akaweka data nyigine, niliposhituka na kutambua kuwa baadhi ya docs zangu zimeangamia ilibidi kufanya recovery kwa kutumia ease data recovery, lakini kabla ya kufanya hivo hiyo external tulii format tena, sasa tunaporecover yale ya hapo awali hayaji na badala yake yanakuja yale jamaa aliyoingiza mara baada ya kuformat mara ya kwanza.
Naomba msaada wa jinsi ya ku recover docs za hapo awali.
Msaada tafadhali.
Naomba msaada wa jinsi ya ku recover docs za hapo awali.
Msaada tafadhali.