mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 310
habari wakuu,natafuta enclosure ya desktop 3.5 IDE drive ili niweze kuitumia hard disk kama external storage.Nitafurahi sana kama nitaipata kwa kuelekezwa mahali zinapouzwa ama kwa kuuziwa moja kwa moja.
Akhsanteni
Akhsanteni