Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Habari zenu wana jukwaa pendwa la science&gadgets,
Nimeleta uzi huu wa kupata msaada wa kujuzwa namna ya ku-copy taarifa yoyote hapa jf au hata kwenye website nyingine kwa kutumia simu/ smartphone na kuutuma kwenda whatsapp, fb nk bila kuonyesha wapi habari imetoka.
Mfano kuna wadau wanaweza kuweka hapa JF habari nzima ya gazeti kisha wakaweka source. Sasa mimi nataka kujua jinsi ya ku-copy taarifa na nikamtumia mtu kwa whatsapp bila kuonesha link ya mtandao husika.
Cc: CHIEF MKWAWA, njunwa wamavoko, Mwl. Rtc, & wataalam wengine.

Last edited by a moderator: