MediaTek ni nini?

MediaTek ni nini?

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
Waungwana naomba kufaham au kujuzwa kuusu hili neno MediaTek kwa kiundan zaidi na matumiz yake ...

NB:
Na pia nitashukuru sana ukiamia pia kwa upande wa sim je zinatumika kwa kazi ipi ni hayo tuu...

NATANGULIZA SHUKRAN
 
Mediatek ni jina la processor za simu. na processor ni kama ubongo wa simu inatumiwa na simu kwenye kufikiri mambo yote ya kihesabu na kimantiki.

Mtu akisema mediatek ni kama anasema intel.
 
Mediatek ni jina la processor za simu. na processor ni kama ubongo wa simu inatumiwa na simu kwenye kufikiri mambo yote ya kihesabu na kimantiki.

Mtu akisema mediatek ni kama anasema intel

Mkuu MediaTek ni jina la kampuni inayotengeneza Mediatek Chipset.

Ni sawa na useme Nokia ni simu.
 
Niwekee picha ya simu inayoitwa Nokia i can bet with you for sure.

rafiki unachanganya mambo mawili. Kuna kampuni ya kutengeneza simu inaitwa Nokia(Finnish company) at the same time, one of the Nokia products in Nokia! I am right?
 
Niwekee picha ya simu inayoitwa Nokia i can bet with you for sure.

Snapdragon 810

Exynos 7420

Mediatek mt6585

mediatek, exynos, snapdragon ni majina ya processor na herufi za mbele ni aina za processor.
 
snapdragon 810

exynos 7420

mediatek mt6585

mediatek, exynos, snapdragon ni majina ya processor na herufi za mbele ni aina za processor

Ukieka MediaTek itasimama kama kampuni na ukieka MediaTek MT6585 itasimama kama processor ya Mediatek.

Na huezi kusema MT6585 ukimaanisha processor lazma usieleweke mpaka useme Mediatek MT6585 ila ukisema MediaTek kimantiki iliyosahihi itasimama kama Kampuni.
 
Ukieka MediaTek itasimama kama kampuni na ukieka MediaTek MT6585 itasimama kama processor ya Mediatek.

Na huezi kusema MT6585 ukimaanisha processor lazma usieleweke mpaka useme Mediatek MT6585
ila ukisema MediaTek kimantiki iliyosahihi itasimama kama Kampuni.

Unaweza kuwa na jina moja linamaanisha mambo mawili. nakaa mkoa wa tanga na pia nakaa wilaya ya tanga
 
unaweza kuwa na jina moja linamaanisha mambo mawili. nakaa mkoa wa tanga na pia nakaa wilaya ya tanga

Hapo nikikuuliza Tanga ni nini unaeza nijibu ni wilaya utakua sahihi na ukijibu ni Mkoa utakua sahihi.

Lakini nikikuuliza MediaTek ni nini huwezi kunijibu Ni Processor afu ukawa sahihi. Kwasabu ukiambiwa ulete processor inayoitwa MediaTek hutoweza kuileta.
 
Kuna binadamu na kuna snipa, nikiambiwa nilete mediatek nitaleta processor yoyote ya mediatek na nikiambiwa nilete mt6595 nitaleta exactly processor hio.

Nyumbani nina mbwa anaitwa ten, nikiambiwa niletwe mbwa nitaleta yoyote nikiambiwa nimlete ten then nitachukua mbwa wangu.

Nikiambiwa nimkamate snipa nakufata wewe nkutembeze na vidole gumba nikiambiwa nilete binadamu nitamfata yoyote.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom