Inawezekanaje mtu Kupokea simu kwenye saa?

Inawezekanaje mtu Kupokea simu kwenye saa?

ndidudila

Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
91
Reaction score
41
Wadau inawezekana nipo nyuma kiteknolojia, nimekaa pahala namuona bwana mmoja kashika tablet, na pia kavaa saa mkononi, kilichonisgangaza amepigiwa simu halafu anapokelea kwenye hiyo saa, naomba kuelemishwa wadau
 
kuna saa zinasmartphone zimeungwa pamoja. Bei 450'000.
 
Hizo ni baadhi ya mifano ya smartwatches
 
Attachments

  • gear-fit-menu.jpg
    gear-fit-menu.jpg
    29.2 KB · Views: 308
  • pebble-prod-lead_r_100x105.jpg
    pebble-prod-lead_r_100x105.jpg
    2.3 KB · Views: 618
  • apple-watch_little_r_100x105.jpg
    apple-watch_little_r_100x105.jpg
    2.4 KB · Views: 617
  • gear2-prod-lead_r_100x105.jpg
    gear2-prod-lead_r_100x105.jpg
    2.6 KB · Views: 611
  • Gear_Fit_newbuy_r_100x105.jpg
    Gear_Fit_newbuy_r_100x105.jpg
    1.9 KB · Views: 615
Nilikuwa nauza nilikuja na pc5 kutoka China lakini hazikunilipa niliishia kuzikopesha kwa washikaji zangu na wengine mpaka nikiwadai wanaishia kunikaribisha ugali wa dona na nyama choma kujichekesha kwingi ila deni hawalipi. Yaani marafiki washenzi sana.

Pole jamani watu bana hiyo itakuwa Dar Es Salaam ingekuwa Mtwara ungelipwa
 
hiyo bei nipamoja na simu au?.
Hiyo ni saa ambayo ndani take kunasimu. Ni kama simu nyingine tofauti ni kwamba hiyo inamkanda wakuvalia mkononi.

Kwani simu zote si zinasaa jamani au wewe ukinunua simu unauziwa saa kwa pembeni?
 
Wadau inawezekana nipo nyuma kiteknolojia, nimekaa pahala namuona bwana mmoja kashika tablet, na pia kavaa saa mkononi, kilichonisgangaza amepigiwa simu halafu anapokelea kwenye hiyo saa, naomba kuelemishwa wadau
Nishaiona bluetooth watch...yenyewe unakuwa unapiga na kupokea simu kwenye saa lakini ukiwa umeunganisha kwa bluetooth kwenye simu...kama vile unavounganisha bluetooth earphones na simu. .
 
Wadau inawezekana nipo nyuma kiteknolojia, nimekaa pahala namuona bwana mmoja kashika tablet, na pia kavaa saa mkononi, kilichonisgangaza amepigiwa simu halafu anapokelea kwenye hiyo saa, naomba kuelemishwa wadau

Smartwatch!
 
Back
Top Bottom