TV LCD hazina spea jamani?

TV LCD hazina spea jamani?

M2mwembamba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
2,512
Reaction score
1,136
Habari wanaJF,

TV yangu imepasuka Display ila inawaka vizuri tu, tatizo ni hiyo display. Huku kwetu Kahama nimekosa, hata Mwanza hakuna.

Ni Sony inch 32 HDMI, Model mpaka niangalie kwani kwa sasa siko nyumbani. Kiukweli ka TV kangu kananiuma jamani.
 
Mkuu na mimi ya kwangu vijana wamekwangua na visoda mpaka imehalibika screen yote imejaa makovu, ngoja wadau waje labda zipo.
 
Ha ha ha jamaa walitaka kupambana na vikatuni vilibvyokuwa ndani screen !!?
 
Yaani wanaikwangua mpaka basi unajua tena wenyewe hata hawajui kama wanaharibu,
 
Hao ni mafundi ukiweka chochote wanakitengeneza wanavyoona inafaa, utakayoinunua tundika ukutani juu kidogo hadi wakifika darasa la tatu ndio wanaifikia hapo watakuwa wanajielewa.
 
Kweli mkuu this time nimejifunza kwa maumivu next time wataisikia hewani, nabandika juu kabisa
 
Mkuu na mimi ya kwangu vijana wamekwangua na visoda mpaka imehalibika screen yote imejaa makovu, ngoja wadau waje labda zipo.

Pole sana wangu,ila umenichekesha kweli.
Lakini si wamekwangua ile karatasi ngumu ya juu? make dispray iko ndani kama smart phone vile.
 
Ahsante mkuu sijachunguza vizuri ila ikiwa haijawaka inaonyesha makovu kibao ikiwa on kwa maana ya picha kuonekana makovu yanakuwa hayaonekani vizuri, inawezekana, manake sijui hata kama ina protector
 
Basi ni karatasi ya juu,ingekuwa dispray ingevuja wino make haina tofauti na simu,yangu imevunjika mpaka wino umeuja hata picha sioni kabisa
 
Habari wanaJF,

TV yangu imepasuka Display ila inawaka vizuri tu, tatizo ni hiyo display. Huku kwetu Kahama nimekosa, hata Mwanza hakuna.

Ni Sony inch 32 HDMI, Model mpaka niangalie kwani kwa sasa siko nyumbani. Kiukweli ka TV kangu kananiuma jamani.

Spea zipo ila sijui kwa huko ulipo. Kuna authorised dealer wa Sony Tanzania, na huwa wanatoa warranty na 'after sale service'
 
Huku hawapo wangu labda kwa dar,laiti ningepata hata namba zao za simu ningewapigia nikawasikiza wanatoa maoni gani
 
Bish Consumer Electronics Ltd,

+255 (22) 2126429.

Sikuweza kupata mobile number.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom