Naomba kufahamu kuhusu Wi-Fi

Naomba kufahamu kuhusu Wi-Fi

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
Habari za humu wakuu kiukweli huwa naliona hili neno na kuna mda fulani nmeshawahi kusikia hadi watu wakisifia hili yan wakisema hiv....(simu za siku hizi zina wi-fi siyo masimu ya zaman hayan hata wi-fi ) ..

Yan hapo sikuelewa sifa kubwa ya wifi mpka watu wameamua kusifia hvy nikabaki kimya kwa sababu sielewi chchte .ndiyo mna nmeona bora niulize hili swali ili kidgo nipate kuelewa hasa ....

wifi ni nin???
nin kazi yake na inafanyaje kazi???? je kwa upande wa hizi sim zetu naomba mlolongo mzuri ambayo utanifanya nielewe kwa ufasaha jinsi ya kuinganisha lbda au kuitumia hasa humu kwenye simu hizi(smartphones) nashukuru kwa yeyote atakaenipa ufafanuzi yakinifu kwan ufafanuzi wake ni msaada kwa wengine walio kma mimi
 
Wifi ni wireless technology ktk local netwek inayotumika kuunganisha simu yako au kifaa kingine cha kielectronic katika network kwa kutumia frequency za UHF na SHF ktk ktk band ya radio.

Ukitaka kuitumia kwenye cm unaiactivate na km ukitaka kuishare ktk devices zngne unaweza
 
Kwamfano unaweza kutumia cm yako yenye wifi km modem ukatumia laptop au desktop(yenye wifi) kuingia net. Ukisha wifi kweny simu unaiacha active au ukipenda unaipa jina

Halafu unaingia sehem ya wireless network ktk laptop yako unaikuta ktk list ya available wireless netweks then una connect laptop yako and then u r done. N.B uwe na bundle kweny cm
 
kwhy nay wifi inatumia MB mkuu sio bureee
 
Kama wewe ni msichana...wifi maana yake mke wa kaka ako.
 
Hao uliowasikia inaelekea ni watu wanaofuja bundle za watu wafikapo maofisini mwa watu na mahotelini..... Huo ulimbukeni upo sana siku hizi. Na hiki kipindi cha MB8. Sio mbaya..... Lakini Wi-Fi(waifai).... Ni teknolojia ilochelewa kidogo kuitambua huku kwetu....kuna watu wengi wanaiona ona na wala hawajui kazi yake ktk vifaa vyao. Pia AIRTEL wanauza HOME WI-FI ROUTER. Tafuta ufurahie internet popote nchini
 
Siku hizi ukiwa na smart phone haina haja ya modem, me modem yangu nimeuza kitambo, mambo ya Wi-Fi hayo
hapo kweny blue ckubaliani napo mkuu..
1.kuna watu bado wanatumia desktop ambazo hazina wifi.
2.unapotumia smartphon kama modem ni lazma uwe na simu na pc kwa pa1..Mfn nadownload files kubwa like driverpack solution ambal ni almost 9Gb..ni lazma niiache simu karib na pc((siwez ondoka na simu))
MODEM bado inahitajika..
 
hapo kweny blue ckubaliani napo mkuu..
1.kuna watu bado wanatumia desktop ambazo hazina wifi.
2.unapotumia smartphon kama modem ni lazma uwe na simu na pc kwa pa1..Mfn nadownload files kubwa like driverpack solution ambal ni almost 9Gb..ni lazma niiache simu karib na pc((siwez ondoka na simu))
MODEM bado inahitajika..

Asante mkuu nimejifunza kitu kipya kutoka kwako kuhusu umuhimu wa modem.
Ingawa nilikua namaanisha ukiwa na pc yenye Wi-Fi.
 
Hili limekuwa tatizo sugu sasa mtu kauliza swali technical wengine wanaleta mizaha sasa nimeamini kumbe ni kweli elimu yetu Tz imeshuka thamani,kama unapenda mizaha uipost kwenye jukwaa la jokes usilete umbumbumbu kwenye jukwaa hili lililojaa elimu na ufundi.

Ok, we uliesoma sana ungeingia Google kutafuta WiFi usingekuja kutuchosha huku. Inaonesha elimu yako ya technical haijakusaidia hivyo hata wewe ni mbumbu zaidi yabgu.
 
nnimefurahi sana kuhusiana na hii mada.ninaomba kuelekezwa jinjinsi ya kutumia wifi bando kla laptop niweze kuunhanisha kwenye sim yangu
 
itakuwa vyema zaid kma kila mtua akajieshimu mwenyew na kukichunguza kitu anachotaka kukifanya kbla hata ya kukifanya sometimes unaweza ukaona unapatia kumbe we ni wa mwisho kupanda gari mwisho wa siku unajilaumu ningejua ningewahi ili nipate siti ...SIDHANI KMA KUNA WAKAT WA KUZINGUA WAKAT HAT ANAEHUSIKA HATAKI KUZINGULIWA...u re grown up guys hat aliyeweka JF JOKES alikuwa anajua haya yatakuwepo hvy ni vyema kuwapa nao nafas ili walete hzo jokes ssa itakuw hajabu sas au utakuwa mtu mjinga ukiacha gari linakuusu na kupanda ndege wakat unajua kbisaa safari yako inausisha gari (et nimejisahau) ...ACHENI MAMB YA KITOTO BANAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
nenda direct to de POINT na si jokes...we dont nid jokes aah
 
Back
Top Bottom