Habar wakuu,
naombeni msaada, nilikua na update software kwa kutumia internet ya wireless, then baada ya kumaliza nikawa naistall baada ya hapo ikajiereboot then ikawa inawaka then inazima...
Nimekutana na tatizo kwenye JAMII FORUMS kwenye Tapatalk.
Kuanzia tarehe 17/05/2015. Notifications haziji kabisa. Sijui kama kuna mtu aliyewahi kukutana na hili. PUSH NOTIFICATIONS zinakuja...
Wadau kwema,
Nimejaribu kupitia vingamuzi mbalimbali vya hapa nyumbani lakini sijaona decoder yenye channel nzuri, je ni decoder gani ya dish ya hapa dar ambayo itanipa channels nzuri both local...
Poleni na majukumu ndugu zangu wa Jamii Forums.
Wakuu nina laptop yangu Acer ASPIRE E1-531, Nilinunua ikiwa haina OS yoyote nikaweka Window 7 Ultimate ya 32-Bits. Kuna tatizo linalonisumbua kwa...
Wadau wa tech hii mitandao ya simu imekuwa wanyonyaji sana kwenye suala la vifurushi vya intanet.
Nahitaji kujua kama kuna any portable wireless device ambayo itanisaidia kupata a strong wireless...
Wanabodi kuna material nataka kupakua toka https://depfile.com/ ila nashindwa maana wananitaka niwe premium member.
Kama kuna mdau anajua premium link Generator ya kuwapenya hawa jamaa naomba...
Habari wakuu nataku kuroot simu yangu ya android ni samsung galaxy grand gt i9082 so kwa mtu mwenye uwezo na hii kitu anichek inbox note:nitalipa gharama ya huduma nipo mkoa ila tar 25 ntakuwa dar...
Naomba mwenye uelewa jinsi gani nitaunganisha TV aina ya ZEC na Receiver aina ya Sony HT-M22. Zote zinaonyesha zinatumia HDMI System, nimejaribu kila njia imegoma.
Habari wanajamvi
Nataka kujua kuhusu hii kitu inayoitwa IPTV. Nimepata kusikia waweza kuangalia tv online kupitia IPTV kwa kutumia simu, PC au hata smart TV.
Nimejaribu kugoogle na kutaka...