Abdulazizmomba
Senior Member
- May 9, 2015
- 189
- 35
Jf natanguliza shukrani simu aina ya Tecno T605 inanisumbua sana ninapoweka line ya voda kama connection kwenye internet haisumbui kufungua facebook ila nikiweka airtel fb haifunguki kabisa kupitia opera min browser version 8.Nini tatizo haswa?