Naomba msaada wa kuwapata wataalam wa sound proof na kuweka taa night club

ngonyoki

Member
May 20, 2012
43
8
Morning waungwana, Naombeni msaada wa mawasiliano kwa anayejua mtaalamu wa kuweka sound proof na mtaalam wa kuweka taa za night club. is urgent and serious.

Asanteni.

 
upo wapi mkuu? nipo na timu yangu ya wataalam tunaweza kufanya yote hayo mpaka issue za artwork ndani ya club, color designing etc, tuna mauzoefu ya kutosha, tuchekiane inbox tupige kazi.
 
Back
Top Bottom