tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,842
- 8,266
Natumaini mu wazima humu jamvini na mnaendelea vizuri katika harakati za ujenzi wa taifa.
Moja kwa moja kwenye mada!
Natumia LG 2 Mini inayotumia kitkat OS na kwa kawaida ya hii OS huwez ku switch matumizi ya memory unless kama umeroot smartphone yako. Kama kuna mtaalam anayeweza kunisaidia mm ambaye sijaroot sim yangu niweze kuswitch kutoka kutumia internal to sd card nitashukuru sana. Natanguliza shukurani