whatsapp kwa namba mbili

whatsapp kwa namba mbili

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Wadau habari
mwanzoni nilikuwa natumia OGWhatsapp ambayo iliniwezesha
kutumia namba mbili katika simu moja lakini imeshakwisha muda wake na
sijapata iliyo active.
Kama kuna mtu anayo link ya application ya kuweza kutumia namba mbili za
whatsapp ktk simu moja naomba anisaidie.
shukrani
 
Ahsante kwa jibu zuri
Nina namba mbili za simu
nataka kutumia ktk simu moja whatsapp

ila kuna mtu alitoa jina la app ambayo inaweza kukupa access ya whatsap yako kwenye simu tofauti na uliyojisajiri nayo...unakuwa unatumia whatsapp original na hiyo ya kwenye additional app kwenye simu moja...umenielewa!?maana na mimi kueleweka huwa ni kazi kweli...
 
Ha! Ha! Ha! Sijakuelewa kaka labda
umwage maneno zaidi ili nikupate
ila kuna mtu alitoa jina la app ambayo inaweza kukupa access ya whatsap yako kwenye simu tofauti na uliyojisajiri nayo...unakuwa unatumia whatsapp original na hiyo ya kwenye additional app kwenye simu moja...umenielewa!?maana na mimi kueleweka huwa ni kazi kweli...
 
Wadau habari
mwanzoni nilikuwa natumia OGWhatsapp ambayo iliniwezesha
kutumia namba mbili katika simu moja lakini imeshakwisha muda wake na
sijapata iliyo active.
Kama kuna mtu anayo link ya application ya kuweza kutumia namba mbili za
whatsapp ktk simu moja naomba anisaidie.
shukrani

Mkuu Ogwhatsapp mbona ipo na inapiga kazi vizuri tu DOWNLOAD HAPA
 
tayari nishainstall disa,
je naweka na whatsapp original au inakuwaje ili
niweze kutumia namba mbili?
kuna app inaitwa disa ukiwa nayo inakupa option ya kuongeza whatsapp nyingine...hope umeelewa sasa...
 
tayari nishainstall disa,
je naweka na whatsapp original au inakuwaje ili
niweze kutumia namba mbili?
ukifungua hiyo disa itakupa option ya kuweka details za whatsapp...weka hiyo za namba nyingine...lkn inabidi hiyo namba nyingine uwe uliwahi kuifungulia whatsapp yake hivyo unakuwa una ihamisha toka huko kwingine kuja kwenye disa!
 
Back
Top Bottom