Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naomba utambuzi wenu. Kuna simu yenye jina hapo juu inauzwa nimeipenda kutokana na umbo lake maana ni flat hivi. Lakini ina kasoro katika screen touch kuna ufa umejitokeza sasa nahisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada, nimedownload virtual dj kwa pc yangu lakina linalia hovyohovyo, nikigonga ngoma mziki unalia hovyohovyo tatizo nini?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naitaji kuunda radio station ambayo aitakuwa na masafa marefu mwenye utahalamu na haya mambo anipe process
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habarini ndugu zangu, wenzangu marafiki zangu wa JF, mimi natafuta Software ya Matlab Ver 7.12 for win7 na system yangu ni 64-bit. Naomba kwa yeyote ambaye anafahamu ni wapi naweza kuipata...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Habar wadau. Natumia simu tajwa hapo juu , internal memory ya hii simu ni 4gb ambayo inanikaba sana kwenye swala ya kuupgrade na kuinstall some new app. Je ukiachana na kuroot kuna njia nyengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF naombeni kujuzwa jinsi ya ku-root simu maana kuna baadhi ya apps nikifungua naambiwa nii-root kwanza alafu ndio niweze kutumia app hizo!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau msaada,mashine yangu imekufa fan,naombeni bei na pa kuipata..nipo dar
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Wadau naombeni msaada nina laptop yangu aina ya DELL. LATITUDE D 620.nikiwasha bila ya kupachika chaja inawaka vizuri tu lakini nikipachika chaja hiyohiyo inazima hata ikiwa imewaka nikiweka chaja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naandika final yr undergraduate project: an sms based examination result checking system; yaani mtu anatuma let say id ya exam, semister na year of study pamoja na password then anapata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
:attention: I have more than 3 years of Qt development experience (DB programming such as MYSQL PostrgreSQL SQLITE,serial programming & Network programming) . I worked on all platforms supported...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Jamani wale walofanyiwa usaili kwa jimbo LA temeke Vipi Nasikia majina yenu tayari yapo katani Ni kweli Naombeni mnithibitishie kwa hilo tafadhali wana jf
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Habari za jioni wadau,naombeni msaada katika laptop yangu toka juzi kila nikiingia ktk websites tofauti tofauti nakutana na maneno kama picha zinavyoonekana.Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Hizi MB 8 wanazotoa hii mitandao yetu hata hatufaidi,nimeweka laini kwenye smartphone kitendo cha kusearch kitu tu ikaingia msg eti nimebakiwa na mb 2
1 Reactions
25 Replies
3K Views
BlackBerry ana mpango wa kutengeneza smartphone itayotumia Android OS. Je! simu hii italeta msisimko wowote kwa watumiaji wa smartphones? na pia Blackberry alikuwa akifanya mambo gani muda wote...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naombeni kujua nini matuzi ya hdmi hubs kwenye tv. Kwa mfano nina tv yangu Ina HDMI1,2 na 3.functions zake ni zp? Asanten.
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Kwa wapenzi wa iOS , iOS 9 beta iko out ,nimeweka kwenye phone yangu iko cool sana . Hii imetoka Kwa ajiri ya developers but mtu wa kawaida unaweza kuiweka Pia kupitia iTunes . Ni upgrade nzuri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huwa ninapigiwa simu Mara kwa Mara na makampuni nisiyoyajua wakitaka wafanye survey kuhusu maisha yangu kwa kuniuliza maswali mbali mbali kama unapenda muziki gani, kwa wiki unasikiliza muziki...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi All, Naomba msaada wa kutambua galaxy note tab nzuri kwa ajili ya gaming kwa kijana wangu with affordable prices! naitaj something with good value for money na possibly wapi labda naweza ipata...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
wakuu! msaada kwa mwenye cd za program muhimu kama windows 7,xp,8 obunt,antivirus na zingine muhimu anisaidie nimepoteza poch ya cd kwenye harakati za mjini. kama unaishi bagamoyo road na maeneo...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…