Msaada wa laptop nzuri

Msaada wa laptop nzuri

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Mambo vipi wakuu..
Nahitaji laptop nzuri kwa ajili ya matumizi mbali mbali. Sasa nimeziona HP pavilion na hp elite book series, sasa nauliza ni nzuri?
Mimi ni mtu wa internet sana huwa napenda kushusha files kubwa, napenda pia games kama far cry, battle field na call of duty hivyo nafikiria laptop ya kufanya mambo yote haya. Naomba mwanga wa laptop itayokua at least inafaa.
 
Kaka bila kutaja specs za ndani huwezi pata msaada.

Hp pavilion kuna za kuanzia Pentium hadi i7 so inategemea.

Kuna jamaa alikua anauza g510 Lenovo i5 na hd4600 sijui kama ameshaiuza hii at least utakuwa na ahueni kucheza games kwa 720p

https://www.jamiiforums.com/matanga...auzwa-i5-hard-disk-space-gb-1000-ram-4gb.html

Mpya yake niliiona uhuru 850,000

atleast iwe ni core i5,ram 4gb,500gb HDD,2.4ghz and above,kwenye graphic card sio mtaalam ila nataka iwe nzur nzur...
 
Back
Top Bottom