africaneagle
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 111
- 27
Habari zenu wajuzi wa tech na tricks, naomba tusambaziane maujanja kama kuna mtu amefanikiwa kuweka custom ROM kwa simu tajwa hapo juu
B-)
B-)
Kaka custom rom na mediatek Ni ngumu Sana. Sababu mediatek hawataki kurelease code zao kwa developer.
Zipo chache cha muhimu angalia aina ya processor yako then tafuta custom rom zake.
Nilijaribu ku combile na source code za moto G ili install vizuri ila ikafeli kustart system inaishia kwenye white screen, tatizo la hii simu sijui imeletwa tz tu, develper wengine kama hawajaijua vile cheki specs zake kwenye pic hapo unisaidie kama itaendana na color OS
processor ni muhimu zaidi kaka, run app kama cpu z halafu cheki aina ya processor then itaje hapa, kama unaingiliana na simu za android one huenda ikawa rahisi zaidi kupata support
Kama hivyo kaka