Laptop and android help

Laptop and android help

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Wakuuu naombeni msaada laptop haiwaki kabisa toka Jana. Yaani hata uiwashe haiwaki ila CD ROM inawezekana kufunguka ila screen haiwaki...je nn tatizo na solution yake???laptop ni dell

Kuhusu android naomba wataalam mnisaidie njia nyingine ya kuondoa avast anti theft ktk android.
Nilijaribu ile ya kutumia Root explorer nikasearch for all avast files nikadelete..ila bado line zingine hazipandishi mtandao.
Help me na alternatives.

CC: khalfan56 Chief-Mkwawa Njunwa wa mavoko mwl rtc Watu8 snipa dreson5
 
Last edited by a moderator:
unakumbuka lile neno siri uliloeka kwenye avast? lipige kama namba ya simu halafu itakuja menu ya siri. kuhusu laptop ulifanya nini hadi ikafanya hivyo?
 
Zile no nazikumbuka kabisa sema hata nikipiga haiji ile menu koz niliuninstall avast pamoja na folders zake..sema ndo hivo nikichange line zingine hazisomi
 
Kaka hiii machine ni ya office wala haikufanywa kitu chochote. Ni yenyewe tu
 
Zile no nazikumbuka kabisa sema hata nikipiga haiji ile menu koz niliuninstall avast pamoja na folders zake..sema ndo hivo nikichange line zingine hazisomi

kwanini usirudishe tena avast na wifi halafu utumie hilo neno la siri kuitoa?
 
Niliwaza hivyo lakini hata kuleta SMS kwenye no ya recovery haileti naona kama inazingua. So mfano nikiweka ROM nyingine nibadili na SD card bado haitasaidia???? Njunwa Wamavoko aliwahi sema something like that.
Let me try hio yako kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Niliwaza hivyo lakini hata kuleta SMS kwenye no ya recovery haileti naona kama inazingua. So mfano nikiweka ROM nyingine nibadili na SD card bado haitasaidia???? Njunwa Wamavoko aliwahi sema something like that.
Let me try hio yako kwanza.

avast anti-theft utaiondoa iwapo uta uninstall manually kwa kuweka neno siri
Pili,ukiweka Custom ROM ndo dawa yake hiyo utakua umefutilia mbali...

Kama unaitafuta hii APK kwa file explorer lazima ukumbuke jina uloipatia kipindi una install sababu uwa inakupa option hiyo haitaki ibaki na jina la anti-theft ili mtu asiijue,hivo ukupa majina kama system update,system update etc hivo kama ukumbuki real name nafikiri njia ni kuweka custom ROM...

But am wondering kwa nn hii itokeee?
 
Yaani niliiweka ktk jina la gift card ili ijifiche then nikaweka pin ambazo nazikumbuka kisha nikaweka recovery phone no ila haifanyi kazi nikiweka line ingine.
 
rudisha Avast + anti-theft afu uiondoe kupitia hiyo avast kuna part yakuiondoa
 
Nimeformart SD card nikapiga window mpya aka custom ROM.
Asanteni kwa msaaada....
Bado ishu ya hiiii dell yangu latitude E6420
 
Badilisha Laptop screen Inverter,especially kama ilikua ina dim ukizungusha upper part of your laptop .
If Not , your tft /lcd screen could be dead.:-(
 
Naibadilishaje... Nimejaribu option ya hard start nayo imegoma...now hata CD ROM haifunguki kinawaka kitaa tu cha charge na wireless hata nikizima wireless button.
 
Back
Top Bottom