Natafuta video tutorila za wordpress

Natafuta video tutorila za wordpress

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Habarini,
Nipo dodoma nahitaji video tutorial za wordpress nadhani ni rahisi ku customize kuliko kuanza from scratch mwenye video naomba tuwasiliane nijue namna ya kuzipata.

NB: nipo dodoma mpaka kesho then nitakuwa iringa aliyepo kwenye maeneo hayo mawili naomba tuwasiliane kama nitahitajika kufika physically kuzichukua.
 
Ukitembelea Kickass katika section ya tutorials utapata nyingi tu

Download Tutorials Torrents - Kickass Torrents

mfano
Download How to create a website with WordPress Torrent - Kickass Torrents
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom