msaada juu ya channel 10

msaada juu ya channel 10

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
ni mwezi wa 4 toka hii channel, kutoonekana na tumia dish la ft 6, msaada jamani.
 
dah mpeg 4? naweza pataje na nishilingi ngapi? nilisikia kwamba wamebalisha freequences, naomba aliyenazo naomba jamanii, kwasababu wenye recever kama yangu wanapatagulfstar.
 
Back
Top Bottom