Msaada Kuondoa Tatizo la Code error 1619 Ili Kuinstall Kwenye Win 8.1

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Nimejaribu kuinstall Deja Vu kwenye laptop ambayo inaendeshwa kwa Windows 8.1. Kila ninaposakinisha (Intall) inakuja mesaji hii
"This installation package could not be opened. Verify that the package exists and is accessible, or contact the application vendor to verify that this is a valid Windows Installer package."

Naomba msaada kukabili tatizo hili.
 
download nyingine tuu mkuu..hyo imekuwa corrupted au wakati wa kudownload kuna sehem ya setup hujaipata fresh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom