Msaada juu ya key less entry au rimoti ya gari

Msaada juu ya key less entry au rimoti ya gari

mayoscissors

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
975
Reaction score
479
Wajuvi msaada juu ya kutengenezewa rimoti ya gari baada ya zamani kuharibika.
Nawasilisha kwa msaada.
 
Kama upo Dar. Nenda "Posta town" Karibu na jengo la "Elia Complex". Ulizia maduka ya fungua ya Manji. Watakutengenezea.
 
Back
Top Bottom