Msaada wa Haraka

Msaada wa Haraka

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Wanateknolojia habari zenu;
Samahani naomba msaada wa kujua bei za Vioo vya simu hizi;

1>htc one x
2>sony experia Z1
2>samsung galaxy mega

Pia itakuwa sio mbaya sana nikifahamu naweza kuvipata wapi na gharama za ufundi pia.
Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom