Internet settings

Internet settings

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,104
Reaction score
53,605
Natumia tigo, bahati mbaya nimefuta settings. Naombeni mnipe hizo settings. Natumia windows phone.

Cc Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Does the platform matter?
 
Attachments

  • 1436246439665.jpg
    1436246439665.jpg
    16 KB · Views: 217
  • 1436246462344.jpg
    1436246462344.jpg
    17.3 KB · Views: 202
  • 1436246482863.jpg
    1436246482863.jpg
    19.5 KB · Views: 204
Name ZNET
Apn ZNET
Ziandike kwa herufi kubwa afu ukumbuke kusevu. Hui settings ni kwa mitandao yote
 
ukishatengeneza hold (gusa bila kuachilia) ile apn kisha click activate

Naomba kuuliza mkuu.

Nimegamia airtel naishi huku pembezoni ya dar, mtandao upo speed ndogo sana. Sasa shida inaweza kuwa nini? Nia yangu nipate speed nzuri muda wote.
 
Kama Ni 3g na still IPO slow solution Ni kuhama mtandao tu.
 
Natumia tigo ila mtandao unakatika tu hasa mida ya jioni. Nikahamia airtel shida ni hiyohiyo. Nataka nijaribu voda.

Hata hvyo mi ni mtu wa kusafiri sana, sijui huko mikoani ni mtandao gani umesambaa kuanzia internet had kuwa reachable.
 
kwa uhakika zaidi kuwa na line ya tigo, voda, airtel na smart. smart dar hawana 3g ila mikoani wanayo 3g haina speed sana ila pia haipo slow around 1mbps hadi 3mbps.
 
Cool. Thanks
 
Back
Top Bottom