Msaada wa kujua gharama za kioo cha laptop

Msaada wa kujua gharama za kioo cha laptop

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
678
Reaction score
308
Laptop yangu ni Asus core i3, nilipanda nayo kwenye daladala ikiwa kwenye begi nilipokuja kuwasha baada ya kutaka kuitumia nikakuta ina nyufa kwenye kioo na izo nyufa zinaleta alama ya wino kana unavuja nikiitumia sana. Sasa kwa wanaojua garama za kioo wanisaidie ili nijue najipangaje, asanteni!
 
Back
Top Bottom