izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
watu wengi tunatumia Internet to communicate to learn to entertain , keep in touch na ku shop bt si watu wote wana matumizi niliyotaja hapo juu kuna cyber criminals out there who see Internet as elitist steal do you think cyber fraud will not hit you ? sidhani kama kuna mtu anaweza kuwakwepa Internet can become a convenient channel for cyber criminals to capture taarifa zetu za siri as we trasact online .when we enter information zinakuwa transmitted through operating system to Web browser through this process keylogger can steal our personal information keystroke encryption allows us to bypass operating systems using a 128 bit encryption kuna njia ambazo kidogo zinaweza kutusaidia kwa mtumiaji wa kawaida wa computer nazo ni
1 turn off public network sharing option
2 ni ku keep the firewall enabled
3 ni kutumia secure website kwa matumizi sensitive (HTTPS) hyper text transfer protocol secure
4 ni kutumia vertical private network (VPN) kwa usalama zaidi ningeshauri ku download cyber ghost 5 hii ni free
5 ni ku update na ku pacth kila kitu kwenye computer
6 tusitumie public network bila ya kuwa na reliable anti virus kwan cyber criminals uwa wanatumia spyware virus kutuibia personal information
7 tu si run financial transactions bila kuwa na special protection
8 niku secure browser kabla ya kuingia online
9 ni kuwa na latest browser version hii kama utakuwa na mazoea ya ku update nadhani unaweza linaweza likawa c tatizo kwako
10 tu access na ku modify browser for security settings
wakuu kama kuna mtu ana swali juu ya hizo njia 10 am here to serve nilishilikiana na nyinyi wakuu
note: kama nilivyosema hii ni primary basics kwa watumiaji wa kawaida wa computer zipo nyingi bt hii itakuwa kwa professional cyber threat and network security