Msaada: Tecno imekorofisha internet

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Amani na izidi kutawala mioyo yenu wana jukwaa,
Tafadhalini, kuna jamaa yangu anasimu tecno y3 sasa imekorofisha haifungui Internet, japo alama zinazoonesha uwepo wa internet kama vile E,3G na H+, zinapotokea huwa kushoto kabisa mwa simu. Msaada wenu Tafadhali

Natanguliza shukrani kwenu

CC CHIEF MKWAWA na wengineo
 
Kwanza anatumia mtandao gani mfano airtel wana Auto Configuration..Pili nenda kwenye setting mpaka network then APN kwenye andika portalnmms kwenye Account name andika vodacom then save setting kwa mtandao wa vodacom..
 
Back
Top Bottom