Kwa mafundi TV: Nauza TV Mbovu

Kwa mafundi TV: Nauza TV Mbovu

mama jason

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Habari zenu wana jamvi kwa wale mafundi TV, Nauza TV (Screpa) imeharibika kioo ila vifaa vingine vipo ok. Kwa mafundi TV anayehitaji ani PM.

TV yenyewe ni LG, PLATT, PLASM, INCHI 42..

Ahsanteni!
 
Mama Jason naomba kudandia lift kwenye tangazo lako. Ninayo pia samsung nchi 40, kila kitu iko sawa ila ukiwasha baada ya muda inajaza rangi za blue kwenye screen. Nahitaji kuiuza kwa fundi, Kwa aliyeko interested niPM,nipo Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom