Msaada: Whatsapp plus

Msaada: Whatsapp plus

shereko

Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
7
Reaction score
1
jamani ninashida moja nimedownload whatspp plus ila niki install ina kubali ila ikifika wakat wa kujaza detail inaniandikia your phone time is inacurate reset and try again sasa ni fanyeje
 
app kama hizo zina certificate, mfano umedownload app ya mwaka 2013 (version ya zamani), hio app ikiingia kwenye simu yako inashangaa mbona huyu jamaa kaseti tarehe iwe 2015? (yenyewe haijui kama sasa hivi tupo mwaka 2015) ndio maana inakwambia tarehe haipo sahihi hivyo hapo solution ni mbili

1. app ipo sahihi hujaset vizuri tarehe nenda kaset vizuri
2. app ni ya zamani na tarehe yako ipo sawa hivyo download app mpya (update whatsapp plus yako kwenda latest version)
 
Kwani siku hizi imeshakua official au ya kuungaunga tu maana mm tokea nifungiwe sijaweka tena kwenye simu yangu
 
Rekebisha muda na tarehe kwenye simu yako,itakua poa mkuu
 
Attachments

  • 1436028806685.jpg
    1436028806685.jpg
    103.5 KB · Views: 530
Usiseme kwamba haifanyi
 
Attachments

  • 1436029246046.jpg
    1436029246046.jpg
    29.1 KB · Views: 497
Whatsapp plus now iko poa kabisa kuliko official na kizuri zaidi hauitaji kuitoa official whatsapp kuinstall whatsapp plus, vivyo hivyo kwa kwa Ogwhatsapp ni burudani sana lakini kwa mimi bado siitumii official, natumia Plus, OG pamoja na whatsmapp+plus raha sana wadau zijarubuni muone ngoja niwatumie muonekano wake pia
 
Michepuko.
 
Back
Top Bottom