Gharama ya plumbing kwa nyumba ndogo ya kisasa

Gharama ya plumbing kwa nyumba ndogo ya kisasa

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Wanajf, heshima kwenu.

Kufanya plumbing (kuweka mfumo wa maji safi na maji taka) kwa nyumba ya vyumba vinne vya kulala, public na private toilets, sitting na dining rooms, jiko na stoo pamoja na bafu public na private inagharimu kiasi gani? Ufundi na vifaa.

Na vifaa viwe ni vile bora na si feki.


Wenye kujua tafadhali. Na tukipata mchango wa watu ambao wameshapitia hatua hiyo itakuwa bora zaidi

Asanteni
 
nitumie picha ya nyumba hiyo kwenye PM nitakufanyia estimation,mimi fundi plumber pia kama utapenda niifanye hiyo kazi,nitakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom