Natafuta time tracking software kwa internet cafe

Natafuta time tracking software kwa internet cafe

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kwa ajili ya kutrack muda ikifika muda nilioset pc ijizime ni kwa ajili ya internet cafe ikiwa na key zake na bure itakuwa powa zaidi.
with regard.
 
timewatcher.de hiyo ya kwanza zaid ya hapo ingia kwenye torrent tafuta handycafee au antamedia
 
Back
Top Bottom