Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hi team,it is about 3yrs since GTV got to hell leave us with unused equipmenst. Any body with solution to bring these unused equipments in operation pls give it to Us.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Msaada jaman kwa anayejua tatizo la hii htc sensation audio bit, yaan kunawakati display inakuwa kama ina blink blink hv ila blinking yake co ile ya kuzima kabisa na kuwaka ispokuwa mwanga tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Nina number yangu ya voxox nilikuwa natumiaga whatsapp ila baada ya kubadilisha simu kila nikijalibu kijiunga tena inaniletea hivyo Sasa sijui tatizo mwenye msaada anisaidie.. asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jamiiforums leo katika kikao cha shule wetu tumeazimia kufungua website. Naomba nisaidiwe kuhusu namna na utaratibu mzima wa kufungua website shule kama Taasisi.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Anayefaham kazi ya sensor calibration kwenye cm naomba anifahishe jaman, maana cjui kazi yake wala maana yake kwenye cm
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Wakuu nataka kununua mobile power bank. Isiwe inatumia solar na iwe portable kubeba na kusafiri nayo. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi ,nimevutika na flat nchi 32 niko Arusha,nimepitia kwenye maduka ya Samsung na kwa Benson bei ya nchi 32 flat aina ya samsung na sony ni 650,000 na 700,000 tshs,kwa home theatre...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
please can someone provide the NCK of x230e modem with the IMEI Number as follows: 86762008732327. thanks in advance.
0 Reactions
0 Replies
657 Views
habari wanajamvi,napenda kijizwa je kuna software ya kwenye simu android inayoconvert pdf kuwa word.Mind u exclude office lens.which i find it to be uselex. sababbu iko very slow pia inastore...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada namna ya ku unroot simu yangu ya LG p710. Nilikuwa nataka ku update naambiwa simu ilio rooted haina uwezo wa kupokea update. Sikulijua hili mapema. Please.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu Nina simu ya samsung galaxy GT-I9000,toka juzi inaji-switch kwenye flight mode automtically,kwa hiyo inakata kila kitu yaana si-access chochote,nimejaribu kufanya factory reset lakini...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Natumia betri ya incoe ya maji N50 nilichanganya waya ya sola nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeibiwa Simu yangu maeneo ya Karume mid a ya mchana. Kuna namna yoyote naweza kuifunga, kuitrack na nikaipata? Nimeinstall TrustGo, NQ na Android Security na IP address ninazo. Msaada...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Jaman msaada wa jinsi ya kuset pvc card kwenye photoshop kabla ya kuprint kwenye printer za epson, yaani vipimo vinakuaje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani msaada ni jinsi gani naweza kuupgrade android ya simu.kwa mfano kutoka android version 4.2.1 kwenda 4.4.2
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi naomba msaada wa kuactivate window 8 kwenye pc yangu, jinsi ya kupata key na kadhalika, natumia window 8.1 enterprise
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chausika, ninatumia tecno p3 inanitumia sms kama hii kila wakati " ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé" " ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé""From: CH (50) ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé"Yan...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naisi nimewekewa spy application kwenye simu yangu, kila nachofanya nakuja kuambiwa, nifanyeje kujua kama imewekwa kweli, na jinsi ya kuiblock......
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Wadau wa ujenzi, Katika pitapita zangu, nimeona kuna milango ya chuma lakini ukiiangalia ni kama wa mbao. Naomba kujua uimara wake ukoje, nimeona milango hii mingi ya China, nami vitu vya China...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu Zake. Natangulia shukran, mim nipo Dar
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…