Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau, habarini za asubuhi? Simu tajwa hapo juu inanipa shida lwenye kufungua picha. Album ina picha zaidi ya.mia lakini zinafunguka 12 tu nyingine zinakataa. Naombeni msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Ningeomba nielekezwe jinsi ya kutoa ela yangu ya AdSense endapo inakuwa tiari kwa ajili ya Kunifikia mimi ni njia gani zinatumika maana nimejiunga AdSense Karibu miez miwili imepita na sijapata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau! Msaada kwa mtaalam wa hiz apple products..natumia iPhone5 ila huku nliko 3G haikamati (kijijini) so, iko slow sana kias kwamba hata tecno inaizid kwa speed sijajua kwann inakua hiv...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini sana wakuu kama kichwa kinavyojieleza.Nilihangaika kwa takribani wiki 2 nikitafuta touch screen ya replacement ya hii tablet ya HP SLATE 7 HD sikufanikiwa kuipata kwa maduka ya posta na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wadau, Nina tafuta fundi anayeweza kutengeza sacket itakayo fanya kazi za PABX yenye port4, yaani niweze kuconnect simu za ndani kwangu, kupiga toka chumba kimoja kwenda kingine Anipigie...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Nauza iphone5 nyeupe imenyooka used ipo safi 0715387545 2whatsapp tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Ninadowload window 10,imefika 25% inakataa kuendelea inaandika; Windows 10 couldn't be installed, Error found: Code 8024402C. Msaada wakuu nimekwama.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salam. Wakuu mimi sio mpenzi wa games kwa hiyo sijui zinapatikana wapi sasa kwa bahati nzuri au mbaya kwangu kuna watoto wa ndugu yangu wamenitembelea hapa likizo hii na wanataka games...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Waungwana habari za jumatatu polen sana na shughuli za kila siku Waungwana ninaomba kwa yeyote anayefahamu kwa tanzania ni chuo gan wanatoa course ya SOUND MIXING ENGINEERING naikabidhi kwenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau Nina ps3 hapa nimeboreka na CD nlizonazo natafta njia ya kuifanya ps3 yangu iweze kucheza pirated games iwe kwa disc za kuburn au hata USB, nawasilidha hoja ...... .
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahitaji link ili niweze kudownload whatsapp for pc naombeni msaada
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Samsung LED TV nnchi 26 inauzwa bado iko kwenye hali nzuri kabisa imetumika miezi minne tu. Kwa maelezo zaidi piga/sms namba 0686979746
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ninaomba anayejua software ya kuweka kwenye simu/namna ya kujua alipo mtu kupitia number ya simu anielekeze. Mfano : mtu yuko Mara lakini anakuambia yuko Songea naomba msaada plz. Anayeijua...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimeletewa sony expria Z1 na mdau wangu kutoka canada, tatizo ni kwamba nashindwa kuitumia kwa mawasiliano mpaka nitapo-unlock network. Nimekwama, naombeni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi nimehangaika sana kulichezea hili game AIR COMBAT ONLINE nimeshindwa mwenye maujuzi namna ya ku-hack hili game kuweza kupata gold na diamond...msaada tafadhali nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada wapendwa wa kioo na touch wa aina hy ya simu
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Mwenye ujuzi na hili game anisaidie jinsi ya kulipata kwenye Tablet Natumia Samsung galaxy note 8 n5100 Msaada please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba msaada wa laptop(dell,os w7) ambayo inashindwa kuboot baada ya kuonyesha dell logo, ni kwamba haiwez kuendelea huwa inajirestart pasipo kuendelea, hivyo kwa mwenye ujuzi kwenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunaona matumizi ya powerbanks na matumizi ya simu kutumika ktk chaji yamekuwa mengi sana.... NADHANI TUTAKUWA TUMEONA HII HABARI. Nini cha kuzingatia ktk hili swala? Specs gani muhimu...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…