wakuu naombeni kujuzwa ni dongle gani nzuri naweza kuitumia kuona channel znazoonyesha ligi kuu ya uingereza kwa wakati huu bila zengwe....mwaka 2013 niliwahi kuona jirani yangu aliekuwa anatumia...
Habari wana JF?
Kifupi nimeanza kuziogopa bidhaa za Huawei baada ya kukutana na jamaa yangu Huawei Y300 imemfia.
Ni bado mpya, ila inatoa alert messages zisemazo "unfortunately, contact has...
Habari za kazi wakuu,
Heshima kwenu sana. Naomba ushauri kuhusu Software / Accounting Package gani nzuri ambayo ntaweza kuitumia kwenye kuendesha Microfinance.
Nitashukuru sana nikipata ushauri...
wandugu niliapdate whatsap juzi kati kwa bahati mbaya nilihifadhi kwenye simu badala ya memory card nilipojaribu kuihamisha ikagoma...
nikaamua kufanya factory reset sasa kila nikiingia kwenye...
Salamu kwenu wanajukwaaa...Mrs wangu anatumia simu aina ya techno S³ tangu juzi inaandika huo ujumbe hapo juu,nimejaribu kufuta vitu alivyopakua karibu vyote lakini bado huo ujumbe bado...
Samahani wadau mimi nina samsung tv flat inch 32 series 4 2014, tatizo langu ni kwamba Je! nikitaka kutazama chanel zile za kulipia nitalazimika kununua king'amuzi? au ninaweza kulipia kutumia...
Msaada wadau nina Bango ambalo cd yake imepotea na nahitaji kuweka maneno mapya katika hilo bango.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia plz.Au kama cd software ninaweza nikaipata,nipo tayari kulipia...
Hi guys, anyone hapa Bongo ambaye ameshakuwa na access na hii simu msaada tafadhali, nimecheki ebay sijaona seller anaeleta Bongo. Kama umefanikiwa kupata dis phone au kuna namna naweza pata plz...
Nilikua nasoma online habari za kampuni ya simu ya Marekani AT&T jinsi
ambavyo pia ni kampuni kuubwa ya televisheni
nimekuwa curious na teknoloji inayotumia
je hapa kwetu TTCL hawawezi iga kitu...
Hii ni privacy statement kutoka microsoft kila mtu anaweza kuielewa..
Finally, we will access, disclose and preserve personal data, including your content (such as the content of your emails...