Habari za kazi wakuu,
Heshima kwenu sana. Naomba ushauri kuhusu Software / Accounting Package gani nzuri ambayo ntaweza kuitumia kwenye kuendesha Microfinance.
Nitashukuru sana nikipata ushauri wenu..