OnePlusOne Phone needed.

OnePlusOne Phone needed.

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Hi guys, anyone hapa Bongo ambaye ameshakuwa na access na hii simu msaada tafadhali, nimecheki ebay sijaona seller anaeleta Bongo. Kama umefanikiwa kupata dis phone au kuna namna naweza pata plz msaada wako ni wa muhimu sana.
 
Duh kirahisi namna hiyo? Labda uuziwe kwa bei ghali zaidi ya alionunulia maana sidhani kama mtu atapanga foleni halafu akuuzie wewe.

Anyway goodluck pengine unaweza pata asie na kazi nayo
 
Kwa nn usisubir onePlus 2 cuz iko mbioni kutoka..

Ni yale yale itatoka na kuishia majuu. Wabongo ni tecno,samsung,sony itel,lg,labda kidogo na blackberry, wamemaliza kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom