ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Aug 9, 2015 #1 hizi ndizo devices zilizoainishwa katika tovuti ya microsoft. inaonesha kuna baadhi ya Simu nzuri za lumia kama vile 730 hazitapitiwa na hii update. Attachments 1439116666136.jpg 57.4 KB · Views: 528
hizi ndizo devices zilizoainishwa katika tovuti ya microsoft. inaonesha kuna baadhi ya Simu nzuri za lumia kama vile 730 hazitapitiwa na hii update.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Aug 9, 2015 #2 Lumia zote za wp8 zitapata hio update ila kuna zitakazochelewa kupata na zitakazowahi kupata.