Makampuni ya simu na teknolojia ya TV

Makampuni ya simu na teknolojia ya TV

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Nilikua nasoma online habari za kampuni ya simu ya Marekani AT&T jinsi
ambavyo pia ni kampuni kuubwa ya televisheni
nimekuwa curious na teknoloji inayotumia
je hapa kwetu TTCL hawawezi iga kitu?

Je huo mchanganyiko wa teknoloji za TV na simu ukoje ukoje?
video on demand ikoje ikoje?
je tunaweza sema future ya kampuni zetu za simu pia iopo kwenye tv?
Nyani Ngabu Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Hujaeleweka kaka. Hebu fafanua ulikuwa unataka kusemaje?
 
Hujaeleweka kaka. Hebu fafanua ulikuwa unataka kusemaje?

Nataka kuielewa kampuni ya AT&T inavyofanya kazi
kulinganisha na makampuni ya TZ ...
hii ni kampuni ya simu na wakati huo huo inahusika na television industry
 
Unamaanisha tv provider kama Netflix na Hulu?

Mpaka kina itv na star tv wakianza kurusha matangazo kwa internet ndio mitandao ya simu itaweza jiingiza kwenye hii biashara.

Nafkiri mfano wake Ni hii simu tv
 
Unamaanisha tv provider kama Netflix na Hulu?

Mpaka kina itv na star tv wakianza kurusha matangazo kwa internet ndio mitandao ya simu itaweza jiingiza kwenye hii biashara.

Nafkiri mfano wake Ni hii simu tv


Mkuu ahsante kwa kunielewa
sasa labda broadband ni nini hasa?
je haihusiki na tv?
najua TTCLL pia wanayo hii kitu
je hakuwezi kuwepo kwa mfano ITV thru broadband?
 
Mkuu The Boss uwezo wa cable 1 inayoingia ndani kwako toka kwenye kampuni ya sim ina weza kukupataia internet,Ikawa ndo cable ya tv na ndo wakawa ndo wanasimamia matangazo makubwa ya mabango haya ya digital.
Hii inaitwa 3screen kwa maana ya screen ya TV,screen ya simu na hizo screen Za matangazo barabarani

Ila sasa hapa kwenye uchakakachuzi ndo ambapo hatuwezi kuendelea.ttcl imejifia huko ndo Hawa Vietel wanakuja na Tec ya cable na simba net ndo wanasambaza na tayari wapo kwenye Mkongo w taifa...ivyo wanaweza endeleza iyo technology!.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss uwezo wa cable 1 inayoingia ndani kwako toka kwenye kampuni ya sim ina weza kukupataia internet,Ikawa ndo cable ya tv na ndo wakawa ndo wanasimamia matangazo makubwa ya mabango haya ya digital.
Hii inaitwa 3screen kwa maana ya screen ya TV,screen ya simu na hizo screen Za matangazo barabarani

Ila sasa hapa kwenye uchakakachuzi ndo ambapo hatuwezi kuendelea.ttcl imejifia huko ndo Hawa Vietel wanakuja na Tec ya cable na simba net ndo wanasambaza na tayari wapo kwenye Mkongo w taifa...ivyo wanaweza endeleza iyo technology!.


ina maana ttcl teknoloji wanayo na wanaweza ingia kwenye tv sio?
 
Mkuu ahsante kwa kunielewa
sasa labda broadband ni nini hasa?
je haihusiki na tv?
najua TTCLL pia wanayo hii kitu
je hakuwezi kuwepo kwa mfano ITV thru broadband?

broadband ni nini?
kaka broadband ni aina ya internet inayoreplace hii internet yetu tunayoitumia ya dial up. kuielewa zaidi isome hapa.
What is Broadband?


je haihusiki na tv?
inahusika na vitu vyote kaka kuanzia, tv, yotube, whatsapp, facebook, server, na matumizi yote unayoyajua ya internet

ttcl wanayo hii kitu
sio kwamba ttcl wanayo tu, bali wanayo aina yenye kasi zaidi ya broadband, yaani fibre optic. ila nafkiri haijaanza kuuzwa kwa wananchi bado.

tv through broadband
kaka ili ueke tv kupitia broadband inabidi uwaconvice hao kina itv kuwa tupo tayari kwa vitu kama hivi.

1.nchini kwetu kuwe na server (24hrs bila umeme kukatika)
2.hizo server ziwe na internet yenye speed ya hali ya juu kuanzia 1gbps kuja juu.
3.internet iwe rahisi kwao hao kina itv na star tv
4.watu wawe tayari kulipia internet na kuangalia tv kwa internet
 
TTCL wameanza ipo kwenye try ni IPTV kwa sasa ukiwa na line ya TTCL(landline) na ukawa na huduma ya internet(broadband) utaona bure tbc1,star tv,tv1,channel 10,dubai sport bure!!!!
Wahi landline ya ttcl upate huduma ya broadband na utapata iptv bure!!!!!!!!!!!!


http://cable2stream.tv/ttcl
 
Hayo mambo yapo sema miundo mbinu ndio hafifu hapa bongo

Mosi:
Unaweza kuangalia tv yoyote duniani iwapo inapatikana online na kama service provider ( tigo, voda, ttcl, nk) watakupa speed ya kutosha kuweza kustream matangazo online

Pili:
Kuhusu tv zetu kuonekana niswala la pili
Akina Itv startimes clouds tbc nk watengeneze server zao kurusha matangazo online ambazo sasa zinatakiwa ziwe na speed na uwezo wa kuwa online 24hrs

Ni kama vile unavyoweza kusikiliza clouds fm online au radio maria online
 
ina maana ttcl teknoloji wanayo na wanaweza ingia kwenye tv sio?

mkuu kama walivyosema hapo juu,

kweli inawezekana,sema ni kuwekeza na kuwa na sela nzuri za tecnolojia.

maana inaweza kuishia kuwa mladi wa watu
 
TTCL wameanza ipo kwenye try ni IPTV kwa sasa ukiwa na line ya TTCL(landline) na ukawa na huduma ya internet(broadband) utaona bure tbc1,star tv,tv1,channel 10,dubai sport bure!!!!
Wahi landline ya ttcl upate huduma ya broadband na utapata iptv bure!!!!!!!!!!!!


Ttcl | Cable2stream

broadband ya TTCL ni sh ngapi WAPOMA
 
Last edited by a moderator:
broadband ya TTCL ni sh ngapi WAPOMA




[h=3]BROADBAND PACKAGES[/h]
[TABLE="class: tablebottom, width: 100%, align: center"]
[TR="bgcolor: #F3F2BC"]
[TD="class: tabledata, width: 219, bgcolor: #FFF300, align: center"] Usage (GB)
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, bgcolor: #FFF300, align: center"] Price (TZS)
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]3
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]45,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]6
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]75,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]10
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]115,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]16
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]165,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]24
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]225,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]32
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]300,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]50
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]375,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]100
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]465,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]180
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]730,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]240
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]320
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]1,210,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]450
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]1,550,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]520
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]1,800,000.00
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FCF8E7"]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]700
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, align: center"]2,340,000.00
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Technological infrastructure tunayo ya kuwezesha kwa uhakika mambo kama hayo?


Sio lazima yawe nchi nzima
yaanze tu hata kipande kidogo
watu wa city center naona wana enjoy sana
kuna huduma hizi za kila aina
 
Back
Top Bottom