Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Wadau ni maujanja gani nitumie ili simu yangu nikiimisplace siku niweze kujua kuwa nani kaichukua, na yuko wapi . Thanks w ana JF
Mkuu Saint Ivuga mimi siyo mtumiaji wa bidhaa za Apple lakini kuna kitu kinaitwa I cloud nadhani kitakusaidia hasa kama una I phone na I pad yaani simu yako ukiipoteza kila kinachofanywa na jamaa mwenye simu yako unakiona na kukipata kwenye I pad yako. hata akipiga picha na kuzitunza au kutuma sms utaiona tu. kuna jamaa yangu wa Angola alipoteza I phone yake Club na tulikutana naye USA akanunua I pad ile ku-setu kila kitu tu akaanza kupata information za simu yake iliyoko Angola wakati yeye yuko USA nilimuuliza akasema ni I cloud. Does this answer your question mkuu??
asante mkuu Mu-sir whic means lazima niwe na device mbili za apple? i mean i pad na i phone. but asnte umenipa ufumbuzi naanza kupata mwanga
Ukiwa na device yoyote ya Iphone icloud ndo kila kitu, Apple ikiibiwa mtu aloiba hatoweza kutumia endapo tu utakuwa umeset icloud passwordMkuu Saint Ivuga mimi siyo mtumiaji wa bidhaa za Apple lakini kuna kitu kinaitwa I cloud nadhani kitakusaidia hasa kama una I phone na I pad yaani simu yako ukiipoteza kila kinachofanywa na jamaa mwenye simu yako unakiona na kukipata kwenye I pad yako. hata akipiga picha na kuzitunza au kutuma sms utaiona tu. kuna jamaa yangu wa Angola alipoteza I phone yake Club na tulikutana naye USA akanunua I pad ile ku-setu kila kitu tu akaanza kupata information za simu yake iliyoko Angola wakati yeye yuko USA nilimuuliza akasema ni I cloud. Does this answer your question mkuu??