Msaada.'storage is running out'

Msaada.'storage is running out'

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
4,456
Reaction score
1,565
Salamu kwenu wanajukwaaa...Mrs wangu anatumia simu aina ya techno S³ tangu juzi inaandika huo ujumbe hapo juu,nimejaribu kufuta vitu alivyopakua karibu vyote lakini bado huo ujumbe bado unakuja.msaada kwenu wanajukwaa
Natanguliza shukrani kwenu
 
Uza nunua tecno...😀
 
futa applications na sio image au videos au music
 
Nenda setting halafu storage iache iload angalia phone memory kuna mb ngapi zipo free? Kikawaida unaletewa hio error pale chini ya 10% ya storage ikiwa free
 
Mkuu Chifu-mkwawa mi natumia huawei y530 inaniandikia hivyo hivyo wakati ndani kuna memory card ya 4GB, tena tupu. Nikipata vision mpya niki-update hazikubali. Naandikiwa erra
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chifu-mkwawa mi natumia huawei y530 inaniandikia hivyo hivyo wakati ndani kuna memory card ya 4GB, tena tupu. Nikipata vision mpya niki-update hazikubali. Naandikiwa erra

Simu nyingi za android memory card ni kwa ajili ya media tu huwezi kuweka apps. Hivyo ni vyema kutumia internal storage kwa ajili ya apps tu na vitu kama picha sauti na video vikae kwenye memory card.

Hamisha video zako, sauti na picha ziende kwenye memory card kwa kutumia file manager inayokuja na simu.
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi tumia Itel ilikuwa na the same problem. Kumbe ilikuwa hivi, ukifuta, folder ama file, linaenda dustbin na kulikuwa na folder lake lilikuwa linaitwa ".estrong" (kama sijakosea). Hivyo yawezekana nawe kukawa na tatizo kama hilo maana sina uzoefu wa matumizi ya tecno, mimi nilikuwa naenda kwenye hilo folder la dustbin na kuli empty.
 
Wakuu na washukuru nyote kwa michango yenu chanya,msichoke kutupa ushauri kwa yale yanatusibu...kila la kheri na jema kwenu...
 
Back
Top Bottom