Nina shida ya ufahamu kuhusu Tablet T555

Madame S

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
17,179
Reaction score
34,529
Habari

Jamani nina shda ya ufahamu juu ya hyo device tajwa hapo juu.

Ningependa kufaham ni app gan zimo ndan yake na pia ktk harakat zangu za kugugo nikaona kwamba whatsapp haisapot tablet devices wala wifi only devices je hakuna namna nyngne ya kuinstall

na kubwa hasa naomba kwa wenye ufaham wanipe full specifications za hi tablet

asanteni.
 
-kuhusu whatsapp
kikawaida utaweza kuinstall whatsapp kwenye tablet kama utadownload apk ya whatsapp toka website yao (sio playstore). ila tablet nyengine hazina sehemu ya contacts hivyo huwenda pia ukahitaji kudownload app ya contacts. so usiwe na shaka kuhusu whatsapp itaingia

-kuhusu app zilizo ndani
app za ndani za samsung zinafanana ni zile zile utakuta pack ya app za google kama playstore, map na hangout na utakuta pack ya app za samsung kama snote, svoice nk.
ikija na app chache ni bora zaidi sababu utasave space, hizi app zinazokuja na simu nyingi huwa hazifutiki.

-full specification za tablet
zisome mwenyewe hapa
Samsung Galaxy Tab A 9.7 - Full tablet specifications
na review yake
Samsung Galaxy Tab A 9.7 SM-T555 Tablet Review - NotebookCheck.net Reviews

nimepoint vitu vichache hapa kuhusu hio tablet

1.inasuport 3g voice hivyo utaweza piga simu, na hizi voice tab nyingi ni kama simu (huwenda pia whatsapp inakubali kama simu)
2. ina band 800 lte hivyo utapata 4g ya tigo
3.processor snapdragon 410 na ram 2gb zinatosha kwa matumizi ya kawaida.
4.battery ya 6000mah sio mbaya kwa tablet.
 
Nashukuru Chief ilikua tatizo laangu ni kujua kama WhatsApp inakubali kama inakubali bas nimefrahi
 
Back
Top Bottom